Avatar yako uliitoa wapi?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,645
NIngependa tushare some details kuhusu jina, avatars uliitoa wapi au inamaanisha nini.

Sema chochote kuhusu jina/avatar yako uliyoweka profile.

Mfano yangu: Miaka kama 3 hivi nilikuwa napenda sana kuangalia clips za mazoezi na page mbalimbali zinazohusu kujenga mwili.

Ndipo nilipoichukua hiyo avatar. Its from Iran. Wenye hobbies za vyuma waweza kuwa wanamjua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…