Avatar yako uliitoa wapi?

Jina bn nilipewa na bro angu Kama nickname.
Avatar nilitoa Twitter hii huwa inanifanya niwe namkumbuka rafiki yangu kipenzi aliyetangulia.... Naomba niishie apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…