Avatar za member wa JF zinaendana na tabia zao.

samtz1

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
1,197
Reaction score
1,371
Habari wadau, nimejaribu kufikiria na hili kuhusu avatar za member wengi wengi wa jf zinaendana na tabia zao.maana sometime nikiangalia avatar ya mtu na anachopost au comments nagundua wazi kabisa tabia na avatar iliyopo ya member husika inaendana na tabia yake mfano

Rohombaya,joseverest,mwanamama faizafox,mensaah, mshana jr bila shaka ni yake kabisa na wengine wengi.
 
Kabisaa ,,nukitaka kujua huyu nimwanamme au mwanamke we angalia iyo kitu tuu,, , anaweza andika ni mwanamke lkn picha yake inaonyesha let say bunduki ,,, so hapo lazima ujue uyo nimwanamme !!.

Mara nyingi picha inazungumza sana ikiwa umeamua kuijua !!.
 
minaona ni ukweli ijapokuwa ni kwa baadhi ya watu tena wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…