Avatar za member wa JF zinaendana na tabia zao.

Inawezekana wewe ndio muuaji wa kibiti. [emoji23] [emoji23] [emoji23] natania banaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiseme wakuskie watakuja nizingira
 
Picha yangu inazungumza aje..!?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Acha mawazo ya hovyo mkuu nipo kwenye foleni nina haraka sana si unajua me mjasiriamali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utamsogeleaje dume mwenzio hivyo?
 
Member akiwa na Avatar ya bahari.. Je anaendana nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…