Avatar za Wana JF na Michango yao zinafanana kabisa

Gugwe

Senior Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
122
Reaction score
54
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka, nimegundua kuwa avatar nyingi za wana JF na mawazo yao zinaendana kabisa, na inavyoonekana kuanzia mtu anachagua avatar yake anakuwa anacommunicate na inner most feelings and personality yake bila yeye mwenyewe kujitambua. kwa mfano bujibuji, katavi, mentor, kamaka, n so many more
 
Je wanaoweka picha za maselebrity wanafanana nao?
 
Inamaanisha wamefulia, kama hata avatar hawana wee unazani watakuwa na nini? think! sweetlady think!
aisee mkuu mimi nmeshndwa kuweka hyo avatar nilijarbu ku'upload pic ipo kwnye my album, msaada wako pliz?
 
<br />
<br />
aisee mkuu mimi nmeshndwa kuweka hyo avatar nilijarbu ku'upload pic ipo kwnye my album, msaada wako pliz?

wasiliana na PAW, pengine alikukosa kosa ban lakini aftermath ya kukukosa ban akaondoka na access yako ya avatar. hehehe PAW nuksi bana!
 
Reactions: Paw
kaka mi nafanana na yangu kopirait

Namaanisha mawazo siyo sura, wewe utakuwa unapenda kula kula ndio maana umeweka avatar ya box la chakula au mawazo yako yatakuwa na muelekeo wa chakula chakula
 
<br />
<br />
aisee mkuu mimi nmeshndwa kuweka hyo avatar nilijarbu ku'upload pic ipo kwnye my album, msaada wako pliz?

Usijali sana kwani hata user name yako imekaa kiavatar avatar na inarepresent your personality vizuri tu
 
Hahaha! Samsing money cant buy?? Ni nini? Roho au?? Ntalipia feza bana! Naogopa kulipia samsing!

Wee litumie tu bana, kizuri kula na nduguyo, mwisho wa mwezi tutatafta kizuri kingine tule pamoja, mie ma feza staki bana!
 
Namaanisha mawazo siyo sura, wewe utakuwa unapenda kula kula ndio maana umeweka avatar ya box la chakula au mawazo yako yatakuwa na muelekeo wa chakula chakula
hilo ni box la kibuku, sio chakula! Kuna kibuku takeaway siku izi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…