Avatar za Wana JF na Michango yao zinafanana kabisa

Umejuaje?
 
Yeah...alafu ID nazo sijui huwa zinasema nini!! Maana kama wapo watu wanaojiita majina ya ajabu ajabu sijui ndo inakuaje..!
Hahaha... Ngoja tuanze na klorokwin atuambie why anajiita klorokwin?
 
Hahaha... Ngoja tuanze na klorokwin atuambie why anajiita klorokwin?

maza wangu wa kambo ni queen wa azebaijan sasa first name kloro halaf surname natumia royal queen, wengi wananikonfyuzi na lile dawa la malaria lakini infakti mimi ni royal family wa azebaijan.

kwa maelezo haya natarajia PM kuongezeka.
 
Hahaha! Acha kunivunja mbavu bana... Nna swaumu eti...
 
Hahaha! Kloro we njoo tu na hiyo suruali yako ya kitambaa na zile raba zako! Si unajua cha kuazima hakisitiri??

Dah! nasibitisha hapo red! juzi kuna mdada kanyang'anywa wigi harusini aisee! kinokia changu hakina kamera lakini ilikuwa niinase laivu halaf nikurushieni. Uswahilini bana!
 
Nauliza tu je ya Preta aliyeweka ninii imefika magotini inamanisha nini?
 
Dah! nasibitisha hapo red! juzi kuna mdada kanyang'anywa wigi harusini aisee! kinokia changu hakina kamera lakini ilikuwa niinase laivu halaf nikurushieni. Uswahilini bana!
Hahaha! Afu ukute kanyoa upara!!au hajachana nywele!!.. Ila kweli uswahilini kuna vituko, mtu anaazima hadi wigi??..ntakununulia blaki beri ili usikose tena picha kama hizo..lol ni muhimu kwa kumbukumbu za jf!
 
Yeah...alafu ID nazo sijui huwa zinasema nini!! Maana kama wapo watu wanaojiita majina ya ajabu ajabu sijui ndo inakuaje..!
i'm Good (from looks,personality you name it!) did i mention i'm also a guy,i'm Good Guy! The avatar can anyone tell me who the guy is? If anyone can well you gat ur answers,i'm smart as the guy! By the way umesema uko wap vile tuje na shost tufungue saluni huko.lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…