Mara zote huwa naona Preta, Michelle, Lizzy, Shantel, The Boss, Rejao, Afro Denzi...wanafanana na avatar zao hata za macelebrity. FaizaFox na King'asti...hapana, wako tofauti!
Mmh! Ngoja nijikalie tu kimya! 88 njema!Mara zote huwa naona Preta, Michelle, Lizzy, Shantel, The Boss, Rejao, Afro Denzi...wanafanana na avatar zao hata za macelebrity. FaizaFox na King'asti...hapana, wako tofauti!
Nimewasha kamtambo kangu ili kujirizisha kama haka kahusiano ka sweetlady na fellow tablet ya malaria hakana mazara huku martenity ward...... Am watching......
Nimewasha kamtambo kangu ili kujirizisha kama haka kahusiano ka sweetlady na fellow tablet ya malaria hakana mazara huku martenity ward...... Am watching......

Khaaa! waswahili kweli wabaya, unajua hapa jamvini walikuwa wanasema unashikiliwa na polisi baada ya kutumia huduma ya gesti halaf hukulipia?, mimi nilikudefend sana fellow tablet lakini jamaa walishika bango, asavali umelejea.

bek to abov quote: penzi langu na sweetlady liko motomoto, tayari so far nishamrushia vocha 4.

orait orait......

afu we mshiki, nna rekodi ya kuwapiga kibuti madada lol kakako hakuangushagi ujue ....... Watachonga sana juu yetu....
haha umetibua utajijua mwenyewe wakija!kweli fellow tablet haukuhuzuria vikao vingi hapa JF. hiyo Preta siku hizi inamilikiwa na njemba moja inakwenda kwa jina la El toro hapa JF. ni njemba moja jobless lakini sjui Preta kalogwa na nani?
kweli fellow tablet haukuhuzuria vikao vingi hapa JF. hiyo Preta siku hizi inamilikiwa na njemba moja inakwenda kwa jina la El toro hapa JF. ni njemba moja jobless lakini sjui Preta kalogwa na nani?
hakuna cha kulogwa wala nini.......rejea thread kule......Mwanamke akipenda kapenda kweli.......hakyamama
Afadhali mie sifanani na chochote.
i'm Good (from looks,personality you name it!) did i mention i'm also a guy,i'm Good Guy! The avatar can anyone tell me who the guy is? If anyone can well you gat ur answers,i'm smart as the guy! By the way umesema uko wap vile tuje na shost tufungue saluni huko.lol

habari ya mfungo dear......karibu tupate daku

daku mapema yote hii. Ikifika sa sita naanza kupiga miayo.
Mzima wewe?

mzima kabisa......hofu yangu sijakuona leo....au ulienda 8 8?....