Avatar zenye kuleta utata,muulize muhusika.

Avatar zenye kuleta utata,muulize muhusika.

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Kuna Avatar za watu humu ndani ukiziangalia unawaza hivi huyu mtu alikutwa na nini hadi akaamua kuiweka hii avatar yake.

Mimi huwa naangalia ya huyu mtu anajiita RED GIANT nabaki nacheka sana ile animation.

Yaani ni kama mtoto ananusa kalio la mama yake halafu anatoka nduki 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

hebu RED GIANT kokote uliko jibu Avatar yako inamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom