Ndugu jamaa na marafiki nawasalimu wote. Je Avatar ninayotumia sasa ina tatizo lolote au niendelee nayo tu. Nauliza hivi kwa kuwa kuna watu watatu tayari wameni-pm kuwa nibadilishe naomba maoni ya wadau
Inashtua kidogo, ukiangalia kwa juu juu, utadhani ni.............aliyeinama upande, nikadhani unaomba ban ili upumzike kidogo, lakini kama ni baunsa endelea nayo.
Hahahaha......! Assuming that everyone who may visit this forum is a Great Thinker, then there is no a problem, but because the visit of the forum is not limited to Great Thinkers only, then you may be required to think twice....! Otherwise, only Great Thinkers may understand your avatar....!