avengers

avengers

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Jana nilienda cinema kuangalia avengers jamani hata lile shetani lijambazi sugu halijakufa picha ikaisha,halaf watu wengine wakaanza kuyeyuka ,King of wakanda akayeyuka kidogo nilie,wengi waliyeyuka jamani,nauliza hivi watatoa part two kweli .na hilo lishetani limefanikiwa kuchukua vile vidani vyote sita,waliungana wote kulipiga lakin liliwapiga,pia sehemu niliyofurahia pale kwa wakanda ule ukuta ni balaa na umoja wao
Maana inafurahisha jamani wapo mastar kibao walioigiza Captain America ,aloigiza Thor
jamani mi movie za kibongo sijui kiafrica zinisamehe kweli
naomba watoe nyingine nimalizie mimi
 
Back
Top Bottom