Aveva, kaburu kukaa rumande mpaka July 13

makalango

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
451
Reaction score
254
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, habari kutoka kisutu ni kuwa kaburu nyange pamoja na Aveva watakaa rumande mpaka July 13 baada ya mashtaka matatu kati ya matano kukosa sifa za kuwa na dhamana likiwemo la kutakatisha fedha lakini pia rais wa shirikisho la mpira Tanzania na katibu mkuu wa tff nao wamesomewa mashtaka 28 nao pia wamenyimwa dhamana hivyo nao kuendelea kusota rumande.
 
 
Hahaahah mkuu vipi malinzi atakuwa ameshinda uchaguzi nadhani
Kuwa mgombea kinara hakukuzuii kufariki. Cha msingi ni kwamba next year watani zangu hawatadanganywa maana wadanganaji wana tuhma ambazo zitawanyima sifa za kuonekana mtaani
 
Vipi manji teja mlimpelekea?
 
mpatto kwani Joseverest anahusika vipi ni hii mada, na kama huna cha kuchangia uwe pita kwa kutulia na ni wakati muafaka wa uongozi wa JamiiForums kudhibiti watu kama nyie mnao ongoza kuharibu mada za watu.

Turudi kwenye mada husika; Binafsi ningependa kuona mahakama inatenda haki kwa hao wanaoshutumiwa kuhujuma timu yetu wapewe adhabu kulingana na ukubwa wa makosa yao.

SIMBA SC NGUVU MOJA.
 
GENTAMYCINE anapeleka lini?
 
Daaa maisha ya ajabu sana! Mijamaa ya mchangani ilimcheka na kumkebehi sana Manji! Sasa kibao kimegeuka na bado Makofia nae
 
Poleni sana wazee wa simba...
[HASHTAG]#mandelaa[/HASHTAG] kiwelu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…