newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
Siwafahamu hawa 540, lakini hiyo nauli wanayotoza kwenda MZA na kurudi DSM, sijui kama inaendana na huduma, usalama, n.k. Bure gharama jamani!!! Sikubaliani na Mahesabu kuhusu PRECISSIONAIR kuiua ATC, kusema la ukweli ni ufisadi ndo umeiua ATC (a.k.a Any Time Cancellation)!!!
Siwafahamu hawa 540, lakini hiyo nauli wanayotoza kwenda MZA na kurudi DSM, sijui kama inaendana na huduma, usalama, n.k. Bure gharama jamani!!! Sikubaliani na Mahesabu kuhusu PRECISSIONAIR kuiua ATC, kusema la ukweli ni ufisadi ndo umeiua ATC (a.k.a Any Time Cancellation)!!!
Hao 540 - nadhani wameanza na bei hizo poa kama marketing strategy. Hawataendelea nazo kwa muda mrefu. Mkumbuke kulikuwa na airline nyingine ilikuja na bei poa - sijui waliitaje naamini ilikuwa ya baba mmoja kule mwanza, sasa haionekani tena.
Watanzania tunanyanyasika sana kwa sababu ya ubinafsi. Hatushirikiani, hatupeani taarifa za maendeleo. Tubadilike. Simu za mwanzo zilikuwa zinauzwa shs 1.700,000 tena analog. Vitu bei ni kubwa mno bila sababu. Napendekeza tufanye mkakati na tuunde tume ya maridhiano na amani. Wenye taarifa zote za hujuma wazitoe. Watuhumiwa wanaoliangamiza taifa wakiri na sisi tuwasamehe.
Tuanze ukurasa mpya kwani tunatesana sana bila huruma. Wenzetu wachache wana utajiri mkubwa sana kwa ufisadi. Tukiwasamehe watakuja wekeza ndani ya nchi kwa viwango vizuri na ajira nk vitaongezeka. Inatia hasira sana na uchungu mkubwa.
Hata wafanyabiashara ya dala dala wanataka faida baada ya mwaka mmoja. Siyo haki ni wizi. China kupanga nyumba ukilipa baadhi ya maeneo shilingi 1,500,000 utakaa katika nyumba kwa miaka sabini.
Tutafakari mambo haya ya biashara. Twahitaji mapinduzi ya haraka/
precision wako cheap zaidi ya fly 540 kwani fly 540 wanacharge 199000 Dar mwz Dar while precision 149000 same route na watafanya hivyo kucheki soko hadi July 11 this year pia precision Dar mwz wanafanya sh.98000 only wakati ukipanda luxury coach kama Allys,Mohamed,Lucky star ,Mchina,Green star unalipa 40000 -50000 kutwa nzima kwa nini usibook precision