Dah hapana kaka ni kamari ambayo ipo kwenye app zingine kama ilivyo kubashiri mechi ila utofauti wake ni kuwa huko wanafanya kama wanashindana na kompyuta kurusha ndege hivyo ndiyo maana wanaita aviator .Hiyo aviator ni mchezo wa mchina nn π
Ova
Kutambua tatizo ,ni njia moja ya kusuluhisha tatizoSidhani kama Kuna addiction mbaya kama hii tangu nimezifahamu addiction.
KUbaya zaidi kumtambua huyu mtu ni ngumu.
Inamaliza watu mtaani
Kuna waalimu sasaππDah hapana kaka ni kamari ambayo ipo kwenye app zingine kama ilivyo kubashiri mechi ila utofauti wake ni kuwa huko wanafanya kama wanashindana na kompyuta kurusha ndege hivyo ndiyo maana wanaita aviator .
Nimesikitika kwa sababu nahisi hii kamari ni maalumu kwajili ya madaktari sababu ninao wawili ambao ni addicted na kazi haziendi tena kama awali ila cha kusikitisha ni kuwa wengi wanakimbilia kuyumbisha madish yao
Hapa namsemq mmoja dishi limeyumba kweli ,katolewa rufaa katupwa huko vijijini kwenye kituo cha afya kwenye kupeleleza chanzo ni nini wanadai utendaji wake umeshuka sana na pia ni kama dishi halisomi mnara vizuri tena ,huku na huku ikaja kugundulika aviator ndiye mchawi .
Hao ni suala la muda kuanzishiwa sober huko huko vituoni haswa vya kubeti .Kuna waalimu sasaππ
Hii kitu inaua watu low key
Kuna wakili mmj naye kindege kishamvuruga ubongo,ndugu jamaaDah hapana kaka ni kamari ambayo ipo kwenye app zingine kama ilivyo kubashiri mechi ila utofauti wake ni kuwa huko wanafanya kama wanashindana na kompyuta kurusha ndege hivyo ndiyo maana wanaita aviator .
Nimesikitika kwa sababu nahisi hii kamari ni maalumu kwajili ya madaktari sababu ninao wawili ambao ni addicted na kazi haziendi tena kama awali ila cha kusikitisha ni kuwa wengi wanakimbilia kuyumbisha madish yao
Hapa namsemq mmoja dishi limeyumba kweli ,katolewa rufaa katupwa huko vijijini kwenye kituo cha afya kwenye kupeleleza chanzo ni nini wanadai utendaji wake umeshuka sana na pia ni kama dishi halisomi mnara vizuri tena ,huku na huku ikaja kugundulika aviator ndiye mchawi .
Unaambiwa haifaiWatu hawasemi tu ila hii kitu inatafuna bwanaaa ππ
Ukiwa addicted na madawa watu watakuona tu coz afya itaaza kubadilika.
Ila mbaka mtu ajue upo addicted na hii kitu ni upo kaburini.
Mbaya zaidi hii haina jinsia Wala kiwango Cha Elimu inatafuna wote.
Mimi nashangaa gov wapo kimya asee hii kitu ni mbayaUnaambiwa haifai
Inabidi serikali ingilie kati
π huko
Ova
Watu gov ndiyo wanakimiliki.Mimi nashangaa gov wapo kimya asee hii kitu ni mbaya
Hakika hyo ktu imeamua kudeal na kada ya afya, kuna dogo ni CO hapa mtaani kindege kinampeleka puta mbaya sanaDah hapana kaka ni kamari ambayo ipo kwenye app zingine kama ilivyo kubashiri mechi ila utofauti wake ni kuwa huko wanafanya kama wanashindana na kompyuta kurusha ndege hivyo ndiyo maana wanaita aviator .
Nimesikitika kwa sababu nahisi hii kamari ni maalumu kwajili ya madaktari sababu ninao wawili ambao ni addicted na kazi haziendi tena kama awali ila cha kusikitisha ni kuwa wengi wanakimbilia kuyumbisha madish yao
Hapa namsemq mmoja dishi limeyumba kweli ,katolewa rufaa katupwa huko vijijini kwenye kituo cha afya kwenye kupeleleza chanzo ni nini wanadai utendaji wake umeshuka sana na pia ni kama dishi halisomi mnara vizuri tena ,huku na huku ikaja kugundulika aviator ndiye mchawi .
Na sio kuwa inadeal na afya tu bali inawauwa kabisa watu wa afya sijui itakuwaje ila ndiyo hivyo aisee .Hakika hyo ktu imeamua kudeal na kada ya afya, kuna dogo ni CO hapa mtaani kindege kinampeleka puta mbaya sana
Hakika hata awe smart na exposure kiasi gani ujue mshampotezaUkitaka kumloga mtu mlogee aviator, kwisha habari yake.
Kabisa,kuna watu na kazi zao taaluma madokta,mwanasheria,mhasibu watu kama 8Hakika hata awe smart na exposure kiasi gani ujue mshampoteza
πππ Kwa kindege vifungu vya Sheria vinapotea kichwani chap.Kuna wakili mmj naye kindege kishamvuruga ubongo,ndugu jamaa
Kuchunguza kumbe kindege ashammaliza
Ova