Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,818
- 8,451
ππππ mapolisi aisee ni wanunuz wa mbususu sana cjui kwann.Na sio kuwa inadeal na afya tu bali inawauwa kabisa watu wa afya sijui itakuwaje ila ndiyo hivyo aisee .
Mkifika kwenye watu walioathirika na madanguro naomba watu wa vyombo vya usalama wasiachwe hata wakiwatisha vipi ,muwataje
Aisee wameuza kila kitu na unakuta wamechukua na mikopo yote aviator kabeba lazma udate.Kabisa,kuna watu na kazi zao taaluma madokta,mwanasheria,mhasibu watu kama 8
Nmepewa kesi yao hali zao
Siyo nzuri wameuza kila kitu
Wengine mpk wamedata
Mwanzoni ndg jamaa zao walijuwa labda kuna mambo yamewavuruga,kuja kufanya uchunguzi wamegundua wALikuwa wanacheza kindege
Ova
Mimi sijasema hao kaka ,mwanasheria wako bado yupo lakini ?ππππ mapolisi aisee ni wanunuz wa mbususu sana cjui kwann.
profit and loss piaKwa kindege vifungu vya Sheria vinapotea kichwani chap.
Kindege hakiangalii, jinsia, kabila, rangi, rika, elimu, mboga saba wala dagaa chukuchuku, financial status, exposure, kinakula kila awaye.Kuna wakili mmj naye kindege kishamvuruga ubongo,ndugu jamaa
Kuchunguza kumbe kindege ashammaliza
Ova
Wao wanapata Kodi awajali.Mimi nashangaa gov wapo kimya asee hii kitu ni mbaya
Uko sahihi kabisa,dalili za mtu ambaye yupo addicted na aviator ni very tricky mtu wa karibu kujua ni ngumu sana.Utashangaa tu mtu anaaza kukukopa hovyo hovyo na hujamzoea,akiomba laki ukasema huna hata 10k una 5k mfukoni anakuambia nitumie hiyo hiyo.
Jua ushampoteza ndugu yako,yaani kaishaa
Mtoa maada weka dalili nyingine hapoππ
hawaki.... nitumie na ya kutolea babemapolisi aisee ni wanunuz wa mbususu sana cjui kwann.
umeacha au bado unarusha kindege?Uko sahihi kabisa,dalili za mtu ambaye yupo addicted na aviator ni very tricky mtu wa karibu kujua ni ngumu sana.
Hata Mimi nilikua leo unanikuta na milioni 2 kesho nakuuomba 5k nile mpaka unashangaa.
Nakopa 200k napiga napata 1M yule jamaa aliyenikopa nampa 300k namwimbia hiyo 100k ishi nayo .
Baada ya siku Moja tena naazima 50k kwake
Cycle inaenda hivyo mpaka sasa mnagombana unahamia kwingine unakua sugu wa madeni
Kwenye bakari ni hatari zaidi maana kule watu hawapati pesa ila wanausugu nako. Jamaa atakuwa hamjui Bakari Nondo na asijaribu kumjua maana atapata addiction kote, Aviator na Bakari!Come on, u mean more than bakari nondo mwa....
Yaan umeweka laki, ndege inaanza tu kupaa ..inapaa kwa speedπππsasa sijui anakuwaga Rubani mzoefu, Jamaa waongo sana!!Uko sahihi kabisa,dalili za mtu ambaye yupo addicted na aviator ni very tricky mtu wa karibu kujua ni ngumu sana.
Hata Mimi nilikua leo unanikuta na milioni 2 kesho nakuuomba 5k nile mpaka unashangaa.
Nakopa 200k napiga napata 1M yule jamaa aliyenikopa nampa 300k namwimbia hiyo 100k ishi nayo .
Baada ya siku Moja tena naazima 50k kwake
Cycle inaenda hivyo mpaka sasa mnagombana unahamia kwingine unakua sugu wa madeni
mtandaoni ni kuzuri ila ni kubaya mbaya, usipokuwa makini unaokota makopo fasta bila kulogwa.Mitandaoni kuna mambo aisee