Aviator hack trick

Ukideposit 2000 kama 5 umelost 5 utastake 10 kama italost unastake 20 ikiwin ela inarudi na profit ya 5
 
Pia
Aviator kuna siku imenipa pesa nikazitoa zote afu nikadeposit upya maana kila nikisema niweke dude linamaliza fasta. Mi nilikuwa nacheza kwenye 1.1 mwisho 1.3 mtaji 30,000
Pia ni moja ya mbinu
 
daah mkuu contastick nakukubali xana mwanagu kwa kuleta hii elimu apa in short ule mchezo sio kaka..........ule aufai keep distance away...if you dont the rule dont try the game
 
daah mkuu contastick nakukubali xana mwanagu kwa kuleta hii elimu apa in short ule mchezo sio kaka..........ule aufai keep distance away...if you dont the rule dont try the game
Wachache Sana waelewa kama wew kweny huu mchezo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…