Hahaa nimeanza kwa kucheza hii ni baada ya jana kocha wa Jwaneng Galaxy kuwaambia Orlando Pirates walienda Spain kushangaa warembo na Maghorofa.
Limekuja baada ya kuwatupa nje Orlando Pirates na kuwakaribisha next time wakaweke kambi pale Botswana na sio kwenda kushangaa warembo wa Spain.
Jana tumeona pira Avic town na leo tumeona Pira Turkiye pira Uturuki mimi binafsi sina mengi nakuachia wewe msomaji utoe maoni yako kati ya Pira Avic town na pira Uturuki lipi tamu.
Agg 3-3