AVN application

AVN application

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Vijina..,
Nimeoomba AVN kwaajili yakuombea chuo.
Ila kiukweli hatua ni nyingi mno nimepambana Nazo japo sina uzoefu ni mara ya kwanza na nimefanikiwa kumaliza pia wameniambia nisubiri ndani ya masaa 120..
Sasa nauliza ninaweza ku-edit kama itatakiwa kufanya hivyo hali kuwa nimetuma tayari.
Hapa naomba sana hizi siku 5 mambo yawe safi
View attachment 1588065
 
Mm nilipata AVN ndani ya dakika tatu tu mara baada ya kuomba.
 
Ww itakuwa matokeo yako yalishakuwa verified tayari.. Ila mm bado kuverify ndio maana hvyo
kweli kabisa, nilimaliza 2018 Mwezi wa 7 nikaomba AVN mwaka huo huo mwezi wa 9, status ilikuja Kama yako tu. Nikakaa kusubiri huo muda waliosema lakini sikufanikiwa kupata hiyo AVN, Nikaachana nayo mwaka uliofuata nikaomba tena. Haikuchukua hata dakika tatu nikapata.
 
Wadau, Mimi niliomba AVN juzi na leo hii nimepata. Nimelipa 10,000 only wale waliokawa wanatuzingua ety AVN ni 20,000 ni uongo maradufu.

Ila kitu nilichogundua ni kuwa hawa nacte sio watu wakuwalaumu hata kidogo kuhusu AVN..
Nacte wako very punctual na serious, kikubwa vyuo ndo vinatufelisha kutokana na kuchelewa kutuma matokeo. Chuo chetu kimetuma matokeo jumatatu iliyopita na toka Jana Jumamosi watu tumeanza kupata AVN bila shida, nilikuwa nawaza kuwa weekend hawawezi kufanya kazi ila weekend hii hii nimetumiwa control number, nimelia na nimetumiwa AVN mda huohuo.
Asante sana Nacte na muwe na kazi njema
 
Kitu kikubwa niwasihi vijana wezangu, wakati mnapofanya maombi ya AVN umakini unatakiwa kwa kujaza taarifa sahihi bila kukosea, kama huwezi na hatua zinakushinda basi omba msaada kwa watu wenye ujuzi usaidiwe
 
Usikatae mkuu hata mimi nimelipa elfu 20

Hongera mkuu

Nakupongeza sana kwa kupata AVN,umepambana sana...!
 
Thanks mkuu, haikuwa kitoto tena hata sikutaka mtu yeyote anifanyie nimepambana nayo wenyewe hatua kwa hatua..
Mkuu, mbona mm nmepambana hvy lkn bd cjaambulia chochote.? Au niende nacte kabisa.? Na wako maeneo gani ili nikawavamie mm mwnyw.?
 
Una hakika chuo chako kimepeleka matokeo...!Kama wamepeleka basi fika ofisi za Nacte na utapata avn kwa urahisi.!
 
Wadau, Mimi niliomba AVN juzi na leo hii nimepata. Nimelipa 10,000 only wale waliokawa wanatuzingua ety AVN ni 20,000 ni uongo maradufu.

Ila kitu nilichogundua ni kuwa hawa nacte sio watu wakuwalaumu hata kidogo kuhusu AVN..
Nacte wako very punctual na serious, kikubwa vyuo ndo vinatufelisha kutokana na kuchelewa kutuma matokeo. Chuo chetu kimetuma matokeo jumatatu iliyopita na toka Jana Jumamosi watu tumeanza kupata AVN bila shida, nilikuwa nawaza kuwa weekend hawawezi kufanya kazi ila weekend hii hii nimetumiwa control number, nimelia na nimetumiwa AVN mda huohuo.
Asante sana Nacte na muwe na kazi njema
Shombe la Kisomali hongera zako.
 
Kwa wale walioomba AVN wakajibiwa wasubiri baada ya saa 120 ambazo ni sawa na siku 5, tarehe 12 hadi 18 mwezi huu TCU wanafungua dirisha je hapo si kuna uwezekano ya kukosa nafasi?
 
Juzi kwangu ilikuwa bado masaa 87 leo nmechek nmekuta bado masaa 98
 
Back
Top Bottom