Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Ww itakuwa matokeo yako yalishakuwa verified tayari.. Ila mm bado kuverify ndio maana hvyoMm nilipata AVN ndani ya dakika tatu tu mara baada ya kuomba.
kweli kabisa, nilimaliza 2018 Mwezi wa 7 nikaomba AVN mwaka huo huo mwezi wa 9, status ilikuja Kama yako tu. Nikakaa kusubiri huo muda waliosema lakini sikufanikiwa kupata hiyo AVN, Nikaachana nayo mwaka uliofuata nikaomba tena. Haikuchukua hata dakika tatu nikapata.Ww itakuwa matokeo yako yalishakuwa verified tayari.. Ila mm bado kuverify ndio maana hvyo
Wadau, Mimi niliomba AVN juzi na leo hii nimepata. Nimelipa 10,000 only wale waliokawa wanatuzingua ety AVN ni 20,000 ni uongo maradufu.
Ila kitu nilichogundua ni kuwa hawa nacte sio watu wakuwalaumu hata kidogo kuhusu AVN..
Nacte wako very punctual na serious, kikubwa vyuo ndo vinatufelisha kutokana na kuchelewa kutuma matokeo. Chuo chetu kimetuma matokeo jumatatu iliyopita na toka Jana Jumamosi watu tumeanza kupata AVN bila shida, nilikuwa nawaza kuwa weekend hawawezi kufanya kazi ila weekend hii hii nimetumiwa control number, nimelia na nimetumiwa AVN mda huohuo.
Asante sana Nacte na muwe na kazi njema
Kitu kikubwa niwasihi vijana wezangu, wakati mnapofanya maombi ya AVN umakini unatakiwa kwa kujaza taarifa sahihi bila kukosea, kama huwezi na hatua zinakushinda basi omba msaada kwa watu wenye ujuzi usaidiwe
Siwezi kuwa muongo ktk hili, nidanganye nipate nini mkuu..?Usikatae mkuu hata mimi nimelipa elfu 20
We ushaomba chuo first round..?Usikatae mkuu hata mimi nimelipa elfu 20
We ushaomba chuo first round..?
Siwezi kuwa muongo ktk hili, nidanganye nipate nini mkuu..?
Nakupongeza sana kwa kupata AVN,umepambana sana...!Wadau, Mimi niliomba AVN juzi na leo hii nimepata. Nimelipa 10,000 only wale waliokawa wanatuzingua ety AVN ni 20,000 ni uongo maradufu.
Ila kitu nilichogundua ni kuwa hawa nacte sio watu wakuwalaumu hata kidogo kuhusu AVN..
Nacte wako very punctual na serious, kikubwa vyuo ndo vinatufelisha kutokana na kuchelewa kutuma matokeo. Chuo chetu kimetuma matokeo jumatatu iliyopita na toka Jana Jumamosi watu tumeanza kupata AVN bila shida, nilikuwa nawaza kuwa weekend hawawezi kufanya kazi ila weekend hii hii nimetumiwa control number, nimelia na nimetumiwa AVN mda huohuo.
Asante sana Nacte na muwe na kazi njema
Thanks mkuu, haikuwa kitoto tena hata sikutaka mtu yeyote anifanyie nimepambana nayo wenyewe hatua kwa hatua..Nakupongeza sana kwa kupata AVN,umepambana sana...!
Mkuu, mbona mm nmepambana hvy lkn bd cjaambulia chochote.? Au niende nacte kabisa.? Na wako maeneo gani ili nikawavamie mm mwnyw.?Thanks mkuu, haikuwa kitoto tena hata sikutaka mtu yeyote anifanyie nimepambana nayo wenyewe hatua kwa hatua..
Una hakika chuo chako kimepeleka matokeo...!Kama wamepeleka basi fika ofisi za Nacte na utapata avn kwa urahisi.!Mkuu, mbona mm nmepambana hvy lkn bd cjaambulia chochote.? Au niende nacte kabisa.? Na wako maeneo gani ili nikawavamie mm mwnyw.?
Nmemaliza udom na sina uhakika kama wamepeleka matokeoUna hakika chuo chako kimepeleka matokeo...!Kama wamepeleka basi fika ofisi za Nacte na utapata avn kwa urahisi.!
Shombe la Kisomali hongera zako.Wadau, Mimi niliomba AVN juzi na leo hii nimepata. Nimelipa 10,000 only wale waliokawa wanatuzingua ety AVN ni 20,000 ni uongo maradufu.
Ila kitu nilichogundua ni kuwa hawa nacte sio watu wakuwalaumu hata kidogo kuhusu AVN..
Nacte wako very punctual na serious, kikubwa vyuo ndo vinatufelisha kutokana na kuchelewa kutuma matokeo. Chuo chetu kimetuma matokeo jumatatu iliyopita na toka Jana Jumamosi watu tumeanza kupata AVN bila shida, nilikuwa nawaza kuwa weekend hawawezi kufanya kazi ila weekend hii hii nimetumiwa control number, nimelia na nimetumiwa AVN mda huohuo.
Asante sana Nacte na muwe na kazi njema
Juzi kwangu ilikuwa bado masaa 87 leo nmechek nmekuta bado masaa 98Kwa wale walioomba AVN wakajibiwa wasubiri baada ya saa 120 ambazo ni sawa na siku 5, tarehe 12 hadi 18 mwezi huu TCU wanafungua dirisha je hapo si kuna uwezekano ya kukosa nafasi?