Vijina..,
Nimeoomba AVN kwaajili yakuombea chuo.
Ila kiukweli hatua ni nyingi mno nimepambana Nazo japo sina uzoefu ni mara ya kwanza na nimefanikiwa kumaliza pia wameniambia nisubiri ndani ya masaa 120..
Sasa nauliza ninaweza ku-edit kama itatakiwa kufanya hivyo hali kuwa nimetuma tayari.
Hapa naomba sana hizi siku 5 mambo yawe safi
View attachment 1588065