AVN number kutofautiana na transcript ya chuo.

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari

AVN number kutofautiana na transcript ya chuoni.

Nifanye nini ili niweze kuappy chuo kikuu maana kwenye AVN number nina gpa 2.4 ila transcript yangu niliyokabidhiwa nina gpa 3.6
 
Uongozi please fuatilia chuon kwako
 
Back
Top Bottom