Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Uongozi please fuatilia chuon kwakoHabari
AVN number kutofautiana na transcript ya chuoni.
Nifanye nini ili niweze kuappy chuo kikuu maana kwenye AVN number nina gpa 2.4 ila transcript yangu niliyokabidhiwa nina gpa 3.6