AVN Number kwa waliohitimu mwaka 2024

AVN Number kwa waliohitimu mwaka 2024

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
180
Reaction score
204
Habari wanaJF,

Naomba kuuliza kwa sisi tulimaliza mwaka huu na tunahitaji kuendelea na masomo, tutakuwa na muda wa kuomba mkopo na vyuo kutokana na deadline waliyoweka?, Naomba kupata uzoefu kwa wale waliowahi kufanya hivyo maana lengo langu niunge nasubiri matokeo kwa sasa.
 
Shida ni AVN, kama ni hivyo unaweza ukashindwa kwa mwaka huu kuomba mkopo.
 
Mpaka upate AVN ndio unaweza fanya hayo na kwa ss huwez wahi labda utawahi kuomba chuo tena sio hii ya first mana mpk matokeo yako yapelekwe NACTE sio leo na ivi vyuo vyetu
 
Back
Top Bottom