Otman Moood
Member
- Jul 12, 2022
- 27
- 12
Kwa wale tunaotoka DIPLOMA Kwenda DEGREE , Mwenye changamoto yoyote inayohusiana NA jinsi ya Kupata AVN NUMBER Nicheki kwa namba Hizi Tusaidiane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki kwa namba hi tuone shida ipo wapi 0Yangu nimeapply sijajibiwa mpk leo shida itakua wap
Mimi ni Muhanga namba mojaKwa wale tunaotoka DIPLOMA Kwenda DEGREE , Mwenye changamoto yoyote inayohusiana NA jinsi ya Kupata AVN NUMBER Nicheki kwa namba Hizi 0622569980 Tusaidiane
Rafiki ukipata message hiyo ujue kuna shida mahali.After application
“Your application for AVN is received and pending for verification, will be informed via email & sms
Its status is 119:48 hours”
Si miyeyusho hii
Rafiki ukipata message hiyo ujue kuna shida mahali.
Gipi ulifanikiwa ?Baada ya siku kama 7 nilipata control no apa imebaki kulipia tu nione wataniambia nn tena
Naulizia vipi kupangiwa degree kuna uhusiano na matokeo ya form four?