Avn number

Otman Moood

Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
27
Reaction score
12
Kwa wale tunaotoka DIPLOMA Kwenda DEGREE , Mwenye changamoto yoyote inayohusiana NA jinsi ya Kupata AVN NUMBER Nicheki kwa namba Hizi Tusaidiane
 
Yangu nimeapply sijajibiwa mpk leo shida itakua wap
 
Hiki kitu jamani kinanitesa sana mimi, nikijaza details za Diploma kwenye registration number naletewa message registration number or examination year are not found in their database. Ila niliwasiliana na Chuo nilichosoma wananiambia matokeo walishayapeleka.
 
After application
“Your application for AVN is received and pending for verification, will be informed via email & sms
Its status is 119:48 hours”
Si miyeyusho hii
 
After application
“Your application for AVN is received and pending for verification, will be informed via email & sms
Its status is 119:48 hours”
Si miyeyusho hii
Rafiki ukipata message hiyo ujue kuna shida mahali.
 
Naulizia vipi kupangiwa degree kuna uhusiano na matokeo ya form four?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…