Linawasubilia Watz wapande sio? All over Africa na Duniani watu wanapanda tena kwa support ya gvt,hadi wewe unaivisha utakuta umetumia gharama kubwa bei iko chini huwezi kushindana tena.
Wangeanza maprofesa wa Sua na wanasiasa kuonesha mfano,kinyume chake itakuwa ya wakulima wa miwa Morogoro