Avoid living with 3rd party just after merriage

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndoa ni ndoa kwa wale wanaofikiria kuingia kuna mambo mengi uanitaji kujiadhari nayo kabla ya moto aujakuwakia..lipo swala moja la 3rd party .akuna ambae apendi kuishi na mdogo wake ama kaka yake ama sis wake kama ana uwezo..lakini labda hili ni kwa wewe unaetarajia kuoa...unajua ni vizuri ujue mapenzi mliokuwa nayo kama wachumba ni tofauti mtakayokuwa nayo mkiwa kwenye ndooa..kuna wengi wanajuta baada ya ndoa lakini hayo ni mapito...hivyo basi ni vyema baada ya ndoa ata kama ulikuwa ukiishi na mdogo wako ndugu yoyote ukachkua nafasi ya kumwachia mkeo na yeye akujue vyema...

Nini naamaanisha ukiwa ulikuwa unaishi na ndugu vyema wakati wa ndoa ukamwacha akae hata kwa shangazi mjomba kama ni msaada endelea kutoa kama kawaida lakini ni wakati muafaka uishi na mkeo mjuane je huyu niliekuwa nae hapo nyuma ni huyu kweli ama kivuli chake...na yeye pia achunguze ze same kama ameolewa na fred yule yule ama msukule baada ya muda fulani simbaya kumjulisha nia yako ya kuwa nataka nimlete mdogo wangu ama ndgu yangu makubaliano haya yatabariki sana ndoa yenu kulikuwa mkeo kufanyiwa suprise na mifuko ya rambo

Baada ya hapa najua kila mtu atakuwa yuko na amani na hata weewe mwanamke ukiamua kumleta nduguyo huna budi kumjulisha mumeo maan sikuhizi imekuwa mume kaleta ndugu bila kusema kesho unashangaa mwanamke nae kaleta kijana anadai kaka wakati mwingine bila kuwa na maono uko na mume mwenzio ndani ya nyumba so ni vyema tukajihdhari na haya....tusiache kusaidia ata baaa ya ndoa ,wengi wanahis baada ya ndoa uwezi ama utakiwi kutoa msaada wowote kwenu na hasa ukikutana na mwanamke kichaa unajuta ndani ya ndoa..ila nahisi swala hili ni maelewano ikifika busara zitumike basi na nguvu iambatane kujulisha mkeo kwamba na kama si wazazi wako usingekuwa hapo


Nawatakia wote heri na fanaka wanaotarajia kufunga ndoa wiki hii na pia kuwapa pole wale wote wanaitarajia kuvunja ndoa zao mahakamani wikii hii maana mahakimu wanakuwa ma comedy kwa muda..polen sana sana
 
Kwangu mimi tukipata mshahara na mkeo wangu tunauleta mezani tunamshukuru mungu tunachanganya tunatoa zaka baada ya hapo
tunapanga nini cha kufanya mwezi huu ama kwa wale wanaojua nyakati mnakuwa mkipanga cha kufanya kila mwezi so mnaamua kutoa priority nini cha kuanza na si tu kufanya kila kitu utakuwa na amani sana
\Mungu awabariki ikawe kwako in JESUS Name
 
Hoja ya ko ya msingi ya kuwabarasa ndugu zako ili uishi na mke ni nzuri, japo inategemeana sana kati ya mtu na mtu...Lakini pia inatokana na sababu zilizomfanya huyo anayeishi hapo aje hapo!...Kuna ndugu wengine ambao tunakaa nao haiwezekani kumwambia aondoke, au kumpeleka kwa jamaa!...Wengine ni Yatima!...Lakini pia kama mtu niliekuwa naishi nae kabla ya kuoa ni mstaarabu, kuna shida gani kuendelea kuwapo pale kwangu?....Tuangalie na upande wa pili kwamba ndoa isilete mvunjiko wa mahusiano na jamaa zetu, maana ni kitu chema!...Kama kuwatoa nduguzo nyumbani ni shinikizo la huyo mke, basi ujue pia kuwa familia hiyo mpya haitaonja amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…