sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
awa ndio watu nisiowapenda kuliko wote jf nikiwaone nataman cjui niwafny nn yaan
1ni nyaningabu uyu anajifanya kasoma sana anadharau watu wasio soma wakati ni mbabu
2kiranga uyu ni mjuaji kila kitu anajua yeye anajifanya ana akili kuliko Mungu..huyu moto wa jehanam haumkosi
3rutashobolwa uyu kila kitu siasa mpk kelo
4matola uyu nilufikiliaga ni mwendazimu anapenda sana kubwata ata sielewwi uwa amekasirika nini mda wote itakuwa kaishia la pili au mvuta bange
6lara 1 uyu anachochea kina dada wa jf wauze miili yao mi nawazaga uyu lazma mmachame anadanganya sana wenzie wajipeleke kwa wenye hela sasa wasio na hela wanaotafuta wakamchukue nani maisha ni kutafuta pamoja sasa badae mtu akipata utajileta tena
7matumbo na muuzasura awa nawaweka pamoja wanajifanya watu wa mjini kuna watu wametoka mikoani ila ndio wanakimbiza mjini sasa mademu wanaangalia tu hela siku izi mtoto wa dar wapiii hela ndio kola kitu
8 dinazardhe ana tabia za kuchekacheka kila kitu.makubwaaa unasumbuliwa na nn wewe vivheko vya kimbeambeaupambe
9kahitan mbaguzi wa dini ninamwona km iddi amini anatafuna nyama za watukila kitu wakrsto wabaya.sisemi sabb mi mkristo mi muhindu
Naowapenda sasa hao wee
Warumi binamu yangu anatatizo na mtu Ye anatuletea ubuyu anapiga story na dada zk anasrpa ukimtukana anacheka tu lol
Heaven on earth nampenda mpk nife sista du wa ukweli anajua kingereza alafu hashoboki wala ana maringo
Lemutuuuz national anakula bata tu na maisha yake maskini wanamuonea wivu vikwapa vimechacha mumuache le mutuz fanyeni yenu
Wanaccm na ukawa wote siwapendi hakuna maendeleo yote mliotuletea
#happynew year