Yamekuepo matukio ya ajabu kwenye makanisa miaka ya hivi karibuni hasa nchini Afrika ya Kusini.
Hili ni tukio lingine la ajabu na lililo washangaza wengi baada ya Mchungaji huyu kuwaambia waumini wake wavue nguo ili roho Mtakatifu awaingie vizuri.
Hivi ni kweli Roho Mtakatifu anahitaji uvue nguo??