GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watani mpo!
Katika hali ya Kushangaza Mtu Mmoja kutoka Mkoani Kagera (kwa Watani zake Wakubwa GENTAMYCINE) kutokana na 'Upopoma' wake uliotukuka aliamua 'Kuwabaka' Wasichana Watatu kwa zamu Porini walikokuwa Wakiokota Kuni.
Watani zangu Wahaya hivi 'Uhuni' mmeutoa wapi? Mbona mnatutia sana Aibu Watu wa Kanda ya Ziwa?
Halafu mkiambiwa kuwa Kanda ya Ziwa nzima Watu Wastaarabu, wasio na Uhuni na Wanajitambua ni kwa kutoka Mkoani Mara (Musoma) hamtaki.
Na sijui kwanini Watu wa Mikoa ya Kagera Wahaya, Singida Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Waha, Dodoma kwa Warangi na Mwanza Ukerewe kwa Wakara na huu Upuuzi ambao ni Nadra kuukuta katika Mkoa uliobarikiwa Tanzania nzima na Duniani kote wa Mara (Musoma)
Taarifa: Nipashe ya Radio One Leo.
Na leo mtanikoma hapa Watani zangu.