Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,822
Tuacheni masiala wana jf katika awamu zote zilizo pita hakuna awamu ngumu kama hiii ambayo vijana wengi wamejikuta either wamesingiziwa mimba au wametegeshewa mimba ni awamu hiii.
Sasa hivi bana ukiwa na vihela viwili vitatu vya kubadilisha mboga nakuhakikishia usipokuwa makini na vibinti vya sasa utasingiziwa mimba au utategeshewa mimba na vibinti vinaa amini akishabeba mimba yako huna ujanja tena kwake kwani anajua utamuoa iwe isiwe na usipomuoa basi jiandae kumuhudumia ukizingua kumuhudumia jiandae kupelekwa ustawi wa jamiii, polisi, mahakamani kwa sheria binti itambeba mtagawana nusu nusu tena katika kipato chako.
Hali hivi sasa sio kabisaaa maisha yamekuwa magumu hali haileweki wadada wengi saivi wameshagundua kubeba mimba ndo njia pekee ya kutoka kimaisha na ukiwa bwege bwege pia ujipange kulea mimba ambayo sio ya kwako au kulea mtoto ambao sio wako uchumi saivi haulewekiii hivyo usipokuwa makini muda wowote utageuka mtuhumiwa nambari saba ujiandae kupelekwa kwenye sheria watu wajadili watagawana vipi kipato chako na Mali zako ,
Acha kabisaaa kuna vijana nawaona hapa wameshanasa kwene tundu wanajutaa kwanini walifanyaa bila ya kujua malengo ya mwenza wake yalikuwa ni nini kwake