Awamu ipi ilianzisha kuwalipa Wabunge kwa kuja Bungeni?

Awamu ipi ilianzisha kuwalipa Wabunge kwa kuja Bungeni?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Ningependa tu kufahamu kama kuna mwenye kuelewa, ni Rais yupi alianzisha huu mtindo wa kumlipa Mbunge kwa kuja kwenye kikao cha Bunge laki 3/siku sijui wanapata.

Je, ni tangia Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete ?
 
Sitingi Awalawansi ilikuwa kifumba mdomo Kwa bunge lililofanya kazi halisi ya kibunge ya kusimamia, kukosoa na kushauri serikali japokuwa hakikufanikiwa kuwafumba mdomo Hadi Spika akatakiwa kubadili jinsia kama alitaka kuendelea kuwa Spika.
 
Back
Top Bottom