Vizuri, ni wa kwanza katika Thread hii kujitokeza na kuwapanga marais kwa majina wa kwanza mpaka wa mwisho.yaaani hata msemeje naweza nikapanga MAraisi bora wa tanzania kwa awamu zoote nne, unajua sisiwachache wenyebahati ya kuuudhulia awamu zoote nne tunaweza kusema with reasons
1. Nyerere
2. Mkapa
3. Mwinyi
4. huyu simtaji ila ni wamwisho anaharibu kila kitu hana chakujisifia mpaka sasa
sisemi kwa unafiki ila anahitaji abadilike zaidi