Awamu ya 6 inamuhitaji Kamanda Sirro?

Awamu ya 6 inamuhitaji Kamanda Sirro?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Awamu ya SITA imejikita kwenye kuliponya na kuliunganisha taifa dhidi ya Yale yasiyofaa ya awamu ya Tano.

Kuna waliomizwa na kuteswa sana na hata kupotea wengine. Jeshi la polisi Lina jukumu la kulinda usalama wa raia na Mali zao. Afande Sirro alikuwa mkuu wa chombo cha kulinda usalama wa raia na mali zao.

Je, muafaka utawezekana bila kumuweka pembeni kwanza afande Sirro?
 
Back
Top Bottom