Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Iko autopilotKila awamu ilikuwa na mabaya yake ila hii awamu ni ya bora liende no accountability at all
Mkuu wa nchi huwa hakai ofisini.Kila awamu ilikuwa na mabaya yake ila hii awamu ni ya bora liende no accountability at all
Nilipita hiyo barabara, ilikuwa bomba sana.BABATI TO SINGIDA, NI BORA INGEKUWA RAFU RODI
Hii hali tuliiona miaka ya Mwinyi, Mzanzibari mwingine.Ingawa ni Tatizo ni nchi nzima, ukitembea maeneo mbalimbali ya Mwanza, utabaki kujiuliza, hivi kuna serikali inayofanya kazi?
LIicha ya idadi ya watu na vyombo vya ussafiri kuongezeka kila kukicha, mamlaka zinahangaika kuweka taa na hivyo kuongeza foleni, hata kwenyemaeneo ambayo awali hayakuwa na foleni.
Kwingineko, hali ni tete, kuna kituo cha Afya Bulale, chenye kuhudumia kata za Buhongwa hadi maeneo ya wilayaya Misungwi, ambulance zinapishana,lakini barabara ni mahandaki, kipande cha mita 500 kilichopaswa kukamilika July 2025, mpaka sasa miezi 10 hakijakamulika!
Kama kuna mahandaki basi watakuwa wanatumia treniNafikiri kinachoendelea ni jambo jema.
Kitendo cha kytaja Bulyanhulu ni ushahidi kuwa maeneo yote au kwa usahihi nchi nzima hali ni tete.
Sasa, kwa kuwa upele umempata mkunaji, mkipigie keleeninyi pengine na sisi watatusikia. Hali ni mbaya, barabara zimechoka.
Magufuli alisema tutatumia "taksi kutoka Bukoba hadi Mtwara, ( kwa maana ya ubora wa baraara) sasa hali inageuka. Kama kuna mahandaki tunatumia usafiri gani?
Hiyo hali si Dar peke yake.View attachment 3599096
Kwa sasa hivi Jiji la Dar halina mwenyewe.
Awamu ya 6 iko Dodoma, Dar itajiju.
Kati kati ya Jiji kuna mahandakai kama tuko Bulyanhulu machimboni.
Mama anatoa Fedha lakini sijui zinaliwa na nani?
Barabara zikipita tu zile Lori za mizigo zinazotoka Bandarini kubeeba kontena likapita njia hio siku hio basi ndio imeisha hio panatokea mshimo hapo wa ajabu na barabara ndio inakua imeishia hapaMagufuli alisema tutatumia "taksi kutoka Bukoba hadi Mtwara, ( kwa maana ya ubora wa baraara) sasa hali inageuka. Kama kuna mahandaki tunatumia usafiri gani?
"Mama anatoa pesa" ndiyo ujinga gani. Pia huyo huyo mama anakopa je atalipa? Huyo huyo mama yenu anateka na kuua je atarudisha uhai au at least kuzifahamisha familia kuwa ameteka na kuua na hakuna wa kumfanya lolote. Huyo mama yenu anadaiwa matrilioni vipi mbona hasifiwi au kulaumiwa kwamba ana deni lake kubwa ambalo atawatwika walipa kodi mzigo wa kulilipa.View attachment 3599096
Kwa sasa hivi Jiji la Dar halina mwenyewe.
Awamu ya 6 iko Dodoma, Dar itajiju.
Kati kati ya Jiji kuna mahandakai kama tuko Bulyanhulu machimboni.
Mama anatoa Fedha lakini sijui zinaliwa na nani?