Awamu ya 6 na Jiji la Dar - barabara kwishney!

Hii hali tuliiona miaka ya Mwinyi, Mzanzibari mwingine.
Mkapa ndiyo alianza kuokoa jahazi kwa kuunda TANROADS na ROAD FUND.
Sasa hivi Hela ya ROAD FUND inatumika kwingine isivyotazamiwa.
Ikaja awamu ya Kikwete mpaka Watoto wetu walikalia mawe mashuleni yeye alikua hajali lolote zaidi ya kutembea nje ya nchi.
 
Akili za wajinga ni kubeba mabango ya mipango isiyotekelezwa.
Na ukiondoka wananchi wanakusonya kisogoni.
Ndio maana mkinyooshwa na Serikali Huwa nafurahi sana.Hakuna Mpango hapo wewe Chadomo mradi wa DMDP II kazi zinaendelea Toka mwaka juzi na Sasa wanaingia Package II,ya kwanza km zaidi ya 150 zomekamilika kwenye Wilaya z Dar.
 
Hela zote anapeleka kwa watu wasiojulikana ili kuwaumiza wanaomkosoa!

Bibi ni mzigo sana kwa hili taifa
 
Ndio maana mkinyooshwa na Serikali Huwa nafurahi sana.Hakuna Mpango hapo wewe Chadomo mradi wa DMDP II kazi zinaendelea Toka mwaka juzi na Sasa wanaingia Package II,ya kwanza km zaidi ya 150 zomekamilika kwenye Wilaya z Dar.
We ni mafiiiij
 
Ni wapumbavu kama wewe wanaofikiri watu wenye mawazo mbadala ni chadema.
 
Umeandika upuuzi tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…