Wadau Nawasalimu.
Naomba kupata Ufafanuzi juu ya Utoaji wa Fedha za Serikali kwenda kwenye Miradi ya Serikali.
Kwanini Siku hizi Hatusikii tena kuwa SERIKALI imetoa Sh.kadhaa kwa ajili ya Mradi fulani badala yake ANATAJWA MTU kuwa katoa hizo Fedha Je hizo Fedha ni Zake Binafsi au za SERIKALI? Je kuna Tatizo gani Kusema SERIKALI IMETOA?
Utaratibu wa Kumtaja Mtu kuwa ndio KATOA kwa Jina ulianza AWAMU ya 5 na sasa unaendelea.
View attachment 2371573View attachment 2371574
Kama msemaji wa serikali katamka hivyo bila ufafanuz, mwandishi wa habari hana jinsi ya kuhoji akihofia kushughulikiwa. Hapa ndipo unaona mipaka ya siasa katika kushughulikia wananchi. Kinachotokea ni siasa zile za kampeni ambazo zilitakiwa zisitishwe siku moja kabla ya kupiga kula, lakini zimeachwa kuendelea mpaka raund ingine ije. Mie naita ni URAFI WA MADARAKA.Mimi lawama nazipeleka kwa waandishi wa Habari, unaposema Rais unamaanisha ni yeye binafsi. Sijui ndo strategy za kujikomba FIELD YA HABARI IMEOZA WAPO WAANDISHI MIYEYUSHO TU