Slaa akata anga Morogoro
Akiwa Mikumi, alimlipua mwenyekiti wa kamati ya kampeni za CCM, Abdulahman Kinana, akisema kigogo huyo ana mkono katika biashara chafu za makampuni ya meli; akamtaka ajielekeze katika masuala ya kitaifa badala ya kumwandama yeye (Slaa). Akasisitiza kwamba ana ushahidi wa kauli zake, kwani hana historia ya kukurupuka.
Source: Ngurumo
Kila Slaa akitoka na kashfa za hawa jamaa wanaahidi kwenda mahakamani na kila akiwaambia waende ushahidi upo wanafyata mkia. Si mnakumbuka ile kashfa aloitoa ya kupitisha bandarini magari ya CCM bila ushuru? Mzee wa propaganda za CCM kupitia TBC1 alisema kuwa wamechoshwa na uzushi ana Slaa alipowaambia waende mahakamani, mpaka leo wako kimya. So Slaa hakurupuki wakubwa, kama ni data hapo ndo nyumbani kwake!
wala usiwe na wasiwasi...Asante.kinana asituharibie uhondo.slaa nenda,achana na viherehere wa kikwete
Superman:Genakai . . . . naona kama sasa hivi ni kama kunapambazuka, asubuhi bado wala mchana . . . .
Duru za habari zilisema mwanzo kuwa Dr. Slaa ana mabomu kama 9 hivi . . . sina uhakika kama ameanza kuyatumia . . .
Kazi kweli kweli.
Heshima kwako Utingo,wakuu please someone tell me Kinana ni kabila gani?
Heshima kwako Utingo,
Mkuu wangu Kinana ni Msomali kwa asilimia 100.Kinana ni mwenyekiti wa watanzania wenye asili ya Somalia hapa Tanzania na Kenya.
Madhumuni ya chama cha wasomali ni kuhakikisha wasomali wanasaidia / kuwaunganisha na viongozi wa juu wa cham na serekali ili biashara zao halali na haramu ziende vizuri.
[1] kuwasaidia wasomali wenzano walioko Somalia kupata uraia kwa njia haramu na halali.
[2] kuwasaidia wasomali kushiriki na kupata nafasi za kisiasa ili baadae wawalinde wasomali na hili tayari linafanyika bila watanzania kushtuka.Niliwahi kuwaambia Bashe,Rage na Batilda watasumbua sana katika chaguzi za mwaka huu lakini mitanzania haikustuka wapi wanakochota fedha za kufadhili kampeni zao.Zipo habari za uhakika Bashe alikuwa akimwaga fedha huko Nzega huku vyombo vya dola vikimkodolea macho.
[3] Kinana hana chembe ya uadilifu ni mtu ambae amehahakisha siku zote anakuwa karibu na watawala ili kufanikisha uovu wake.Kinana kuwa kampeni manager wa Kikwete si bahati mbaya bali ni mpango wa wasomali wanaomsaidia kwa hali na mali kufika hapo alipo.
Superman:
Hapana umekosea, siyo kwamba ana mabomu,... ni kwamba "amebeba makombora 20" hivyo anatembea nayo usiku na mchana. Kombora na Bomu ni vitu viwili tofauti sana. Pia inasemekana kuwa wanasiasa uchwara watakaomwingia vibaya, kuna chances kwamba wanaweza wakamwongezea kombora zingine mbili au tatu. Yaani chukulia tu kwamba mpaka mda huu, ana makombora angalau 21, mabomu hana kwa sababu yale huwa yana hatari ya kumlipukia hata mbebaji. Yeye ana makombora tu basi, mabomu wala hayahitaji!
We should not waste our time talking about Kinana bse sidhani kama ana uchungu na hii nchi kama meli yake inashiriki kukwapua nyara za serilkali
Chonde Slaa ebu fuatilia ile Uranium ya Namtumbo naona kama tunaibiwa
Aisee ! Slaa ametustua kitu, Kinana si msomali !? unaweza kukuta anahusika katika utekaji wa meli !
Heshima kwako Jatropha,
Umesahau kitu kimoja muhimu sana.Kinana ni mwenyekiti wa chama cha wasomali wanaishi Tanzania na Kenya na sasa mtandao wao unazidi kupanuka ndani ya EAC.Madhumuni makuba ya chama cha ni kama ifuatavyo.
[1] Kuwasaidia wasomali kupata uraia kwa njia haramu na halali hapa nchini.Hili tayari limefanyika huko handeni wasomali walikuwa wakibembelezewa uraia wa Tanzania kitu kilichowashangaza watu wengi.
[2] Kuwasidia wasomali kupata nafasi nyeti ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama eg JWTZ na TISS.Kuwasiadia wasomali kupata nafasi za kisiasa ili wasomali waendeshe mambo yao bila kuguswa na vyombo vya dola.Mfano mzuri ni huko Nzega Bashe alikuwa akimwaga fedha kama njugu bila kuguswa na TAKUKURU wala TISS.Arusha Mama batilda alikuwa akigawa fedha,kanga,kofia bila kugushwa na mtu yoyote.Jambo hili tayari limeshafanikiwa nchi Kenya Al shabab walifanikiwa kufanya mashambulizi ya kigaidi nchi Uganda wakitokea nchini Kenya.kenya wasomali wamenunua majumba na ardhi kwa kutumia fedha haramu za utekaji meli na sasa taratibu wanakuja Tanzania kufanya walichokifanya nchini Kenya.Kinana ni mtu pekee anayetegemewa kuwafungulia njia salama hasa ukizingatia nafasi yake kama kampeni manage wa Muungwana hakuna atakayewasumbua wasomali kuvuruga Tanzania bali watanzania wenyewe kuamka na kuumbua Kinana na gene lake la Al shabab.
Mungu ibariki Tanznaia Mungu ibariki Afrika.