Mimi wanawake huwa ninawaheshimu sana, na wala sijipambanui kwa ubaguzi wowote ule wa kijinsia dhidi yao. Lakini ukweli ni kwamba hawafai kabisa kuaminiwa katika nafasi nyeti za utawala na. uongozi.
Wao ni mahiri sana katika kazi za usaidizi katika sekta za afya, ustawi wa jamii, elimu, malezi na huduma nyingine za starehe ndani ya jamii. Lakini ni legelege mno katika kazi za mitulinga na zenye kuhitaji na kuhusisha nguvu kazi nyingi za wanaume.
Ndiyo maana kwa asili Muumba aliwapa majukumu ya usaidizi wa majukumu, hivyo kuhusishwa na kuolewa, kuzaa, malezi, na kumpa huba mwanaume baada ya kazi ngumu. Wakati mwanaume kiasili alipewa jukumu la kuilinda, kuilisha, na kuihifadhi famili yake.
Ashakum si tusi, ndiyo maana wakati wa haja ndogo wanawake hupaswa kuchuchumaa, hali wanaume hupaswa kusimama. Ukichunguza tofauti ya kimo wakati wa kitendo hiki cha kibaolojia, na endapo ki nafanyika kwa wakati mmoja, kima cha mwanamke hufikia sehemu isiyozidi urefu wa sehemu naliu ya mwanaume ilipo.
Moral: That's where the height of differences in terms of intelligence, ability, skills, and other talents is lying.