Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa.
Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi".
Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na hizondiyo Force Account hizo.
Jengo inasemekana ni madudu matupu, kuanzia michoro iliyotayarishwa na mchoraji aliyepatikana kutoka vichochoroni, kwa nia ya ku draw bulungutu, na walifanikiwa.
Watetezi wa Force Account njooni muitetee.