Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kuna uwezekano unataka uzi wako uunganishwe.Watetezi wa Force Account njooni muitetee.
Nina hasira na Force Account mkuu, matokeo ya mdudu yake tunayaona.Hapa ama simu ni mpya au umeandaa uzi kwa hasira/furaha kuu.
Imekunyima kipande chako ulichotarajia; maana kila jambo sikuhizi ni maslahi binafsi tu!Nina hasira na Force Account mkuu.
Wakandarasi(na Architects, Quantity Surveyors, Egiineers) hawana kaziImekunyima kipande chako ulichotarajia; maana kila jambo sikuhizi ni maslahi binafsi tu!
Natumaini utanielewa ipasavyo na si vinginevyo.
Yule waziri karudi, pengine matatizo yanaanzia kwake tena?
Lakini nikubaliane nawe, huo mradi wa Airport hiyo unayo madudu mengi mno.
Pangekuwepo na waandishi wa habari wanaojua na kuheshimu kazi yao barabara, na kulifanyia kazi jambo hilo ingekuwa jambo jema sana.
Niwie radhi mkuu 'Jidu', binafsi siyo mtaalam wa haya mambo, kwa hiyo kusema kweli sina ufahamu na uelewa wa hiyo "Force Account", ni kitu ambacho sikijui kabisa, na wala sijui kinavyowanyima ulaji hao uliowataja hapo.Wakandarasi(na Architects, Quantity Surveyors, Egiineers) hawana kazi
Wakandarasi(na Architects, Quantity Surveyors, Egiineers )wanalipa kodi
Wakandarasi wanaajiri vijana na kupipa PAYEE, NSSF,WCF, FIRE, OSHA na makodi mengi tu.
Kwa taarifa yako Wakandarasi(na Architects, Quantity Surveyors, Egiineers) wengi wamefunga ofisi na kuingia shughuli nyngine.
Sasa unaosikia haya madudu ya Force Account, wewe utajisikiaje
Kwa kweli iwepo tamko la serikali juu ya huu ulaji wa watumishi waserikali katika hiyo Force Account.Niwie radhi mkuu 'Jidu', binafsi siyo mtaalam wa haya mambo, kwa hiyo kusema kweli sina ufahamu na uelewa wa hiyo "Force Account", ni kitu ambacho sikijui kabisa, na wala sijui kinavyowanyima ulaji hao uliowataja hapo.
Sasa, baada ya kuyakiri hayo, bila shaka utakubaliana nami pia kwamba iwepo 'force account' au vinginevyo, kutokana na hali ilivyo serikalini enzi hizi, hata hao uliowataja hapo na wao watakuwa na mchango wao katika kuvuruga taratibu za utendaji serikalini. Siwalaumu wao pekee, la hasha, lakini ndiyo hali tuliyonayo sasa hivi, ya kila "mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake"