Awamu ya Tano: Wakandarasi wamedharaulika sana

Sasa wote hao ni wezi na wanashughulikiwa kwa pamoja all in all mkandarasi ni mshitakiwa nambari moja. Sasa unasemaje wakandarasi kama hao wanaonewa?
Japo wote ni wezi Ila Fuatilia namna hawa wakandarasi wanavyolipwa. Utagundua kuwa adhabu kubwa wanatakiwa wapewe wenye mradi. Mkandarasi amewasaidia tu watendaji kuiba. Unaweza kuta alipewa maelekezo alete certificate ya milion mia mengine awaachie wao, ukikataa malipo yako yanachukua mda kulipwa au unaanza tishiwa kukataa liquidation
 
Wewe utakuwa na matatizo makubwa kwenye akili zako!
Matatizo makubwa zaidi ni kwako kushindwa kusimamia mikataba na udhaifu wako kutupia mtu uliyemuajiri.
Anachojaribu kukueleza ni kwamba, inawezekana vp mkandarasi alipwe milioni 100 ilihali analipwa baada ya kuissue certificate? Sasa upande wa serikali ulikuwa wapi hadi mtu anaissue certificate ya m100 kwa kazi ya m4? Ww unaona ni sawa?
Mkuu waelewa sekta ya ujenzi ni wachache sana.
Actually hata huyo waziri ni mtupu, kwani badala ya kutazama his own faulty project supervision team and system yake , yeye anatazama punda wa kazi, mkandarasi.
Inahitajika akili zaidi ya hapo.
 
Mbona hawalalamiki? Pia mbona wa nje kama wachina wanafanya vizuri tu. Tatizo la wazawa walizoea kuiba tu. Wabadilike sasa hii ni awamu ya tano.
Aisee boss' embu fuatilia mfumo wa Malipo ya ukandarasi ulivyo Tanzania.
 
Tatizo makandarasi wengi wameshindwa kuendana na kasi ya awamu ya tano lakini trust me hakuna wakati ambao fursa za ujenzi zimimekuwa na tija kwa wazawa kama sasa.
 
Acha usanii, hao "washauri na wasimamizi" wa mikataba wajibu wao kama ajira ni upi?
 
Mkuu' ndo maana nakwambia fuatilia mfumo wetu ulivyo siyo useme tu mbona hawalalamiki. Fuatilia mfumo ulivyo ndo utoe comment maana kwa namna unavyozungumza ni dhahiri una general knowledge ya mfumo mzima wa kazi za ukandarasi zilivyo Tz.
 
Walizoe kuiba sanaaa. Tena haya majamaa huwa yabaoiga pesa ndefu kuanzimi mili 50 hadi bilion.

Kuna mmoja mbarawa alionyesha jengo la dharura la 100mil. Kubabeki hata milioni tatu unalijenga hilo jengo tena kijijini

Sasa watu kama hao unataka kusema wanaonewa wakati ni wapigani na walikuwa hawafuatiliwi
 
Mkuu tumieni akili kidogo.
Huyo mkandarasi alienda kuvunja sefu kulipwa Tshs 100?

Na role ya wahandisi wasimamizi kstika kumlipa huyo mkandarasi 100million walicheza mchezo gani?

Tusipende majibu ya juu juu kufurahisha vijiwe.
 
Unasahau kuwa mjinga zaidi ni yule asiyemlipa mkandarasi in time na hatoi usimamizi wa miradi mpaka waziri aje site.
Hilo mnalifahamu vizuri.
 
wakandarasi wote wanaolalamikiwa huwa wanakili kulipwa pesa zao...

Usijaribu kutengeneza scenario kutetea ujinga

Aliyezimia kw Jafo full paid....
Wote fully paid..... Ndani ya mkataba na muda sahihi...

Hata akiyeandika hiyo thread hakuongelea malipo koz he knows hayajawahi kuwa na shida...

Nisisi bavichaa tuzidi kujitoa fahamu kutetea ujinga...
Unasahau kuwa mjinga zaidi ni yule asiyemlipa mkandarasi in time na hatoi usimamizi wa miradi mpaka waziri aje site.
Hilo mnalifahamu vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukimlipa baada ya mwaka unakuwa umejivua lawama maana wewe ni malaika hukosei.
 
Kwanza elewa hakupewa 100m kujenga banda. Alilipwa kama malipo ya temporary site office.
Kama ali overprice/ front load na katika evaluation process ikaonekana hakuna tatitzo basi wakulaumiwa ni watu wa evaluation.
Pia temporary items uwa zinakuwa priced kutokana na specifications hivyo usishangae kukuta jamaa kajenga over specifications.

Kwenye issue ya 100m kwa lile banda wangelipitia na items zingine wangeliweza kuta kuna baadhi ya kazi kaweka bei ndogo sana kuzidi hata ya Mchina. Hiyo tunaita the art of pricing na evaluation team ndiyo ilitakiwa iangalie tatizo.
Kumkamata mkabdarasi hakuta zuia asilipwe hiyo pesa. Anaweza Subira this terms ikapita then akarudi kudai pesa yake with interest na akalipwa.
Issues za contracts zinatakiwa zimalizwe ndani ya terms za Contractor.
Jidu La Mabambasi, Yule alijenga banda la kuku kwa mil 100 alikuwa ana mdharau nani !?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We we mzoefu ,Mimi ni mzoefu pia , art of pricing hapo ,waangalie kila item ,utakut zingine under priced he wataongeza bei keenye under priced?......ya wakandarasi tuwaachie waliotoa kazi.....ukandarasi sio kazi lelemama , unaweza pata presh
 
We we mzoefu ,Mimi ni mzoefu pia , art of pricing hapo ,waangalie kila item ,utakut zingine under priced he wataongeza bei keenye under priced?......ya wakandarasi tuwaachie waliotoa kazi.....ukandarasi sio kazi lelemama , unaweza pata presh
Sometimes tunawashangaa viongozi wetu kwakudhani practically technicalities ni jambo la jinai. Mfano Issue ya banda la temporary site office na pccb. Hapo nikuwafanya pccb wapoteze muda kuchunguza kwa jambo ambalo mwisho wa siku serikali itatakiwa kulipa tu.
Ni sawasawa na kumshitaki kocha ya mpira wa miguu kwa kuweka wachezaji wengi nyuma/ kupaki basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hiyo elimu ya front loading watu kama profesa Mbarawa hawana uwezo kuielewa, sembuse watu baki!

Kila aliyejenga kibanda chake hivi sasa ati ansujua ukandarasi.
 
Inasikitisha sana...



Cc: mahondaw
Mambo ni magumu kweli kweli.
Mkandarasi sasa ni punching bag kwa kila mwanasiasa anayejisikia.
Tatizo ni kwamba hata kama mradi unatatizo la design-mkandarasi atahenyeshwa
Mradi haujalipwa na kuchelewa kumaizika, mkandarasi atahenyeshwa!
Kuna waziri yuko on record kuwa mradi wewe ni mkandarasi, nenda kakope benki ili umalizie mradi, usipolipwa hilo haliwasumbui!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…