Wakuu nackia mfumo ni hv; first year wote tunapata hostel ila tukiingia 2nd year ndo wote tunaaendaa mtaan kupanga ili kupisha first year watakaokuja nyuma yetuu! So na nyinyi jaribun kuuliza wana ARDHI
wana udsm 2naripot mwez wa 10 tar 12 jkt utaenda na baba yako
niliuliza tu.sasa baba angu ana husika vipi mkuda wewe..
niliuliza tu.sasa baba angu ana husika vipi mkuda wewe..
niliuliza tu.sasa baba angu ana husika vipi mkuda wewe..
niliuliza tu.sasa baba angu ana husika vipi mkuda wewe..
samahan kwa hilo
Ha ha haa! na wewe umezidi kuropoka et ataenda na baba yake, teh teh teh...!
we mgen kwny jukwaa hili m ndio meneja sawa
hahaha ungekuwa we meneja watu wasingejiunga na jf na tungeandamana...
B.G unandharau mm meneja bora niombe msamaha n pm
ili usawa uwepo inabidi wote mwende:A S-key:
Mmh! mi hata sikutamani huko! maswala yakukomazana akuuu!
kukomazana kitu gani hicho? Au unaogopa kubakwa usijali goma tu kama mimi nlivogoma kwenda..
chezea kubakwa ww! sasa wew why umegoma? wanaume kwani wanabakwa?