Awamu ya tatu ya JKT

daah we ndo umetuonyesha kama ni bonge la boyaaaa....Tambaza high school comb ya cbg hawajaenda hata mmoja na watu tuna div 2 na 3 nzuri boya wewe,.so CBG sio science

usipende kuisemea nafsi ya mwenzio B.G
Kama una 2 sema nina 2
kama una 3 sema nina 3
 
Last edited by a moderator:

maskini wee fanya research ndo ucomment
 

kwa hiyo PCM mwenye dv 3 pt 17 ya E,S,S ambaye ameenda jkt na mm EGM mwenye dv3 pt13 ya D,D,E bora nani na nani mwenye sifa ya kwenda chuo kuchukua degree na nani ambaye taifa linamtegemea! Kweli ww kilazaa! m_a_k_u ww
 
kwa hiyo PCM mwenye dv 3 pt 17 ya E,S,S ambaye ameenda jkt na mm EGM mwenye dv3 pt13 ya D,D,E bora nani na nani mwenye sifa ya kwenda chuo kuchukua degree na nani ambaye taifa linamtegemea! Kweli ww kilazaa! m_a_k_u ww

huyu nahisi hajielewi
 
[QaUOTE=Darius;7163706]kwa hiyo PCM mwenye dv 3 pt 17 ya E,S,S ambaye ameenda jkt na mm EGM mwenye dv3 pt13 ya D,D,E bora nani na nani mwenye sifa ya kwenda chuo kuchukua degree na nani ambaye taifa linamtegemea! Kweli ww kilazaa! m_a_k_u ww[/QUOTE] mpotezee uyo nahic anausingz, au inawezekana anaota, utabishana vp na m2 anaeota wang! mwache kwanza akishtuka utamuelewesha!
 
[QaUOTE=Darius;7163706]kwa hiyo PCM mwenye dv 3 pt 17 ya E,S,S ambaye ameenda jkt na mm EGM mwenye dv3 pt13 ya D,D,E bora nani na nani mwenye sifa ya kwenda chuo kuchukua degree na nani ambaye taifa linamtegemea! Kweli ww kilazaa! m_a_k_u ww
mpotezee uyo nahic anausingz, au inawezekana anaota, utabishana vp na m2 anaeota wang! mwache kwanza akishtuka utamuelewesha![/QUOTE]

ngoja nimpotezeee my!
 
Yap,kwa mwenendo vyuo mbalimbali vinatoa selection,,,na kutamka tarehe za kuripoti,basi JKT akuna tenaaa,,,,wale wenzangu na mim ambao mazoez,atutaki pasi,tulia tu,,,,,ila kumbuka mazoez ni muhimu kwa Afia zetu.
 
Yap,kwa mwenendo wa vyuo mbalimbali vinatoa selection,,,na kutamka tarehe za kuripoti,basi JKT akuna tenaaa,,,,wale wenzangu na mim ambao mazoez,atutaki basi,tulia tu,,,,,ila kumbuka mazoez ni muhimu kwa Afia zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…