Kuna ajali zinatokea kwa uzembe WA kibinadamu....
Ajali nyengine zinasababishwa na mambo ambayo yako nje ya utashi WA kibinadamu.
Hizi ajali ni moja wapo ya ajali zenye Shaka Kuwa zina visababishi nje ya macho ya kawaida.
Zipumzike kwa amani roho za waliofariki kipindi wakifariki