EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Habari wanachama wenzangu wa JF.
Baada ya Salamu nilikuwa nataka kujua awamu zijazo za mabasi yaendayo kasi zitahusisha barabara zipi maana nilisikia kuna awamu mpaka 5 je utekeezaji wa ujenzi utaanza lini