EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Hizi hata usizifikirie..hakuna serikali ya kutekeleza hilo kwa sasa..Habari wanachama wenzangu wa JF.Baada ya Salamu nilikuwa nataka kujua awamu zijazo za mabasi yaendayo kasi zitahusisha barabara zipi maana nilisikia kuna awamu mpaka 5 je utekeezaji wa ujenzi utaanza lini
Hizi hata usizifikirie..hakuna serikali ya kutekeleza hilo kwa sasa..
Habari wanachama wenzangu wa JF.Baada ya Salamu nilikuwa nataka kujua awamu zijazo za mabasi yaendayo kasi zitahusisha barabara zipi maana nilisikia kuna awamu mpaka 5 je utekeezaji wa ujenzi utaanza lini