Wizara nyingi wamepangwa marafiki ili kujichotea pesa za serikali, lakini nahisi sasa wa-TZ pia tunahitaji Gen-Z yetu ipambane na uchafu ndani ya wizara zetu.
Huyu anayejiita ni waziri wa maji hafai! Yeye ni kelele tu na kutaja jina la Samia. Kwani Samia ni maji? Miji yote nchini ina matatizo ya maji.
Yeye yupo kushangilia jina la Samia. Kwa ufupi pamoja na kuweka marafiki kwenye nafasi za uwaziri, sasa tunataka mawaziri wenye akili. Watu wapewe nafasi kulingana na uwezo wao. Huyu hajiwezi.