Yaani hii SGR ikija kutinga Malaba nchi yetu itakua kama kijiji kimoja, the socio-economic benefits will be enormous, noting that some counties already are planning to build railway lines that will connect them to the SGR backbone.
Malaya ni Mrembo lakini bado anakuletea ugonjwa wa ukimwi. Ma station makubwa marembo ilihali hakuna biashara ya maana inayo endelea hapo, maximum use of the stations is 30 min/day..Reli nayo inatia harasa ya 1bn per month