gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Ebwana eeeeeeeeeeeeennh yale mavitu ya utamu na ufundi mwingi usio na kipimo wa awesu jana mmeuona? Nadhani imefika muda ahoua na awesu wagawane mechi za kucheza sio kila mechi ahoua tu, coz awesu ana touch nzuri kuliko wachezaji wote wa simba mali inakaa mguuni, mipasi mfululu why ahoua every single so called a day? "BADO TUNAJENGA TIMU"