anoldmedia
Member
- Aug 14, 2024
- 18
- 27
➡️ Kmc Fc na Simba Sc zimefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo Awesu Awesu kwa ada ambayo haijawekwa wazi.
✅ Rasmi Awesu Awesu ataitumikia Simba Sc kwa miaka miwil.
Klabu ya KMC FC inapenda kuwataarifu wanakinondoni na wadau wa Soka nchini kwamba tumefikia makubaliano ya uhamisho wa mchezaji Awesu Ali Awesu na klabu ya Simba Sc.
Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya vikao vya timu zote mbili. Awesu Ali Awesu amehudumu ndani ya klabu ya KMC kwa takribani miaka miwili akiwa kama kiongozi (Nahodha ).
Klabu inamtakia kila la kheri mchezaji Awesu Ali Awesu Katika majukumu yake mapya.